Waroma 11:5-6
Waroma 11:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako mabaki waliochaguliwa kwa neema. Lakini ikiwa ni kwa neema, haiwi kwa matendo tena, au hapo neema isingekuwa neema.
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: Ipo idadi ya waliobaki ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake. Uteuzi wake unatokana na neema yake, na si kwa sababu ya matendo yao. Maana, kama uteuzi wake ungetegemea matendo ya watu, neema yake haingekuwa neema tena.
Shirikisha
Soma Waroma 11