Waroma 12:2
Waroma 12:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala msifuate kanuni za dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
Shirikisha
Soma Waroma 12