Waroma 12:20
Waroma 12:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Zaidi ya hayo, Maandiko yasema: “Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe kinywaji. Maana kwa kufanya hivyo utamfanya apate aibu kali kama makaa ya moto juu ya kichwa chake.”
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Shirikisha
Soma Waroma 12