Waroma 13:8
Waroma 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwe na deni kwa mtu yeyote, isipokuwa tu deni la kupendana. Ampendaye jirani yake ameitekeleza sheria.
Shirikisha
Soma Waroma 13Waroma 13:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msiwiwe na mtu cho chote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza sheria.
Shirikisha
Soma Waroma 13