Waroma 14:13
Waroma 14:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tusiendelee kuhukumiana, bali amueni kuwa mtu asifanye kitu cha kumkwaza ndugu au cha kumwangusha.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi tusizidi kuhukumiana, bali afadhali toeni hukumu hii, mtu asitie kitu cha kumkwaza ndugu au cha kumwangusha.
Shirikisha
Soma Waroma 14