Waroma 14:4
Waroma 14:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? Akisimama au akianguka ni shauri la Bwana wake; naam, atasimama imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.
Shirikisha
Soma Waroma 14