Waroma 14:8
Waroma 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)
maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.
Shirikisha
Soma Waroma 14Waroma 14:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waroma 14