Waroma 15:5
Waroma 15:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliye msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni nyinyi kuwa na msimamo mmoja kufuatana na mfano wake Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Waroma 15Waroma 15:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu mwenye saburi na faraja awajalie kunuia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa kufuata mfano wa Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Waroma 15