Waroma 16:17
Waroma 16:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu, nawasihi mwafichue wote wanaosababisha mafarakano na kuwafanya watu wengine waanguke, kinyume cha mafundisho mliyofundishwa. Jiepusheni na watu hao
Shirikisha
Soma Waroma 16Waroma 16:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zangu, nawasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.
Shirikisha
Soma Waroma 16