Waroma 16:20
Waroma 16:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Shirikisha
Soma Waroma 16Waroma 16:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.
Shirikisha
Soma Waroma 16