Waroma 3:23-24
Waroma 3:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wote wametenda dhambi na wametindikiwa utukufu wa Mungu. Lakini kwa zawadi ya neema ya Mungu, watu wote hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu
Shirikisha
Soma Waroma 3