Waroma 4:7-8
Waroma 4:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao. Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 4Waroma 4:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
“Heri wale waliosamehewa makosa yao ambao makosa yao yamefutwa. Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi zake katika kumbukumbu.”
Shirikisha
Soma Waroma 4Waroma 4:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri waliosamehewa makosa yao, Na waliositiriwa dhambi zao. Heri mtu yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 4