Waroma 5:3-4
Waroma 5:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala si hivyo tu, ila na mfurahi katika dhiki pia; mkijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta subira; na kazi ya subira ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Si hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi, nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, si hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba taabu huleta saburi, nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
Shirikisha
Soma Waroma 5