Waroma 6:11
Waroma 6:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Vivyo hivyo, jihesabuni wafu katika dhambi lakini mlio hai kwa Mungu katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika nanyi lazima mjione kuwa mmekufa kuhusu dhambi, lakini kama mnaoishi katika umoja na Mungu kwa njia ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Waroma 6