Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 6:22 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 6:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini sasa mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uhai wa milele.

Shirikisha
Waroma 6 BHN

Waroma 6:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.

Shirikisha
Waroma 6 SUV

Waroma 6:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.

Shirikisha
Waroma 6 SRUV

Waroma 6:22 NEN (Neno)

Lakini sasa kwa kuwa mmewekwa huru mbali na dhambi na mmekuwa watumwa wa Mungu, faida mnayopata ni utakatifu, ambao mwisho wake ni uzima wa milele.

Shirikisha
Waroma 6 NEN