Waroma 6:23
Waroma 6:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni uhai wa milele katika kuungana na Kristo Yesu, Bwana wetu.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Shirikisha
Soma Waroma 6