Waroma 7:18
Waroma 7:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua kwamba hamna jema lolote ndani yangu mimi, kadiri ya ubinadamu wangu. Kwa maana, ingawa nataka kufanya jambo jema, siwezi kulitekeleza.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema siwezi.
Shirikisha
Soma Waroma 7