Waroma 7:21-22
Waroma 7:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nimegundua kanuni hii: Ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua. Ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria ya Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi nimeona sheria hii, ya kuwa kwangu mimi nitakaye kutenda lililo jema, lipo lililo baya. Kwa maana naifurahia sheria ya Mungu kwa utu wa ndani
Shirikisha
Soma Waroma 7