Waroma 8:16-17
Waroma 8:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu; na kama tu watoto, basi, tu warithi; warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo; naam, tukiteswa pamoja naye ili tupate na kutukuzwa pamoja naye.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Roho mwenyewe anathibitisha na roho zetu kwamba sisi ni watoto wa Mungu. Basi, kwa vile sisi ni watoto wa Mungu, tutapokea baraka zote Mungu alizowawekea watu wake, na tutashiriki urithi huo pamoja na Kristo; maana, tukiyashiriki mateso yake Kristo, tutaushiriki pia utukufu wake.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:16-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Waroma 8