Waroma 8:18
Waroma 8:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Naona kuwa mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyalinganisha na ule utukufu utakaodhihirishwa kwetu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana nayahesabu mateso ya wakati huu wa sasa kuwa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu.
Shirikisha
Soma Waroma 8