Waroma 8:26
Waroma 8:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa.
Shirikisha
Soma Waroma 8