Waroma 8:28
Waroma 8:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kadiri ya kusudi lake.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.
Shirikisha
Soma Waroma 8