Waroma 8:31
Waroma 8:31 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tuseme nini basi kuhusu haya? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani awezaye kuwa kinyume chetu?
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na hayo, tuseme nini zaidi? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, nani awezaye kutupinga?
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani awezaye kutupinga?
Shirikisha
Soma Waroma 8