Waroma 8:35
Waroma 8:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani awezaye kututenga na upendo wa Kristo? Je, ni taabu, au dhiki, au mateso, au njaa, au ukosefu wa nguo, au hatari, au kifo?
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
Shirikisha
Soma Waroma 8