Waroma 9:18
Waroma 9:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni wazi basi, kwamba Mungu humhurumia yeyote anayetaka kumhurumia, na akipenda kumfanya mtu awe mkaidi, hufanya hivyo.
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kama ni hivyo, atakaye kumrehemu humrehemu, na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.
Shirikisha
Soma Waroma 9