Waroma 9:20
Waroma 9:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
La! Sivyo, Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwa nini umeniumba hivi?
Shirikisha
Soma Waroma 9Waroma 9:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
La! Sivyo, Ee binadamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! Kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Kwani kuniumba hivi?
Shirikisha
Soma Waroma 9