Ruthu 3:11
Ruthu 3:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, mwanangu, usiogope; mimi nitakufanyia yote uyanenayo; kwa maana mji wote pia wa watu wangu wanakujua ya kwamba u mwanamke mwema.
Shirikisha
Soma Ruthu 3Ruthu 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa binti yangu usifadhaike, nitakufanyia lolote utakaloomba kwa kuwa kila mtu mjini humu anajua wema wako.
Shirikisha
Soma Ruthu 3