Wimbo Ulio Bora 4:9
Wimbo Ulio Bora 4:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umenishangaza moyo, dada yangu, Bibi arusi, umenishangaza moyo, Kwa mtupo mmoja wa macho yako, Kwa mkufu mmoja wa shingo yako.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4Wimbo Ulio Bora 4:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umenishangaza moyo, umbu langu, Bibi arusi, umenishangaza moyo, Kwa mtupo mmoja wa macho yako, Kwa mkufu mmoja wa shingo yako.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4