Wimbo Ulio Bora 6:10
Wimbo Ulio Bora 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Nani huyu atazamaye kama pambazuko? Mzuri kama mwezi, mwangavu kama jua, na anatisha kama jeshi lenye bendera.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 6Wimbo Ulio Bora 6:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani huyu atazamaye kama alfajiri, Mzuri kama mwezi, safi kama jua, Wa kutisha kama wenye bendera?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 6