Wimbo Ulio Bora 8:7
Wimbo Ulio Bora 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Maji mengi hayawezi kamwe kulizima, mafuriko hayawezi kulizamisha. Mtu akijaribu kununua pendo, akalitolea mali yake yote, atakachopata ni dharau tupu.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8Wimbo Ulio Bora 8:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha; Kama mtu angetoa badala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8