Tito 1:9
Tito 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni lazima ashike kikamilifu ujumbe ule wa kuaminika kama unavyofundishwa. Ndivyo atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa mafundisho sahihi na kuyafichua makosa ya wale wanaoyapinga mafundisho hayo.
Shirikisha
Soma Tito 1Tito 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akilishika lile neno la imani vile vile kama alivyofundishwa, apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na kuwashinda wenye kupinga.
Shirikisha
Soma Tito 1