Tito 2:11-12
Tito 2:11-12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa. Nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote. Neema hiyo yatufunza kuachana na uovu wote na tamaa za kidunia; tuwe na kiasi, tuishi maisha adili na ya kumcha Mungu katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana neema ya Mungu iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa
Shirikisha
Soma Tito 2