Tito 2:7
Tito 2:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
katika mambo yote ukijionyesha wewe mwenyewe kuwa kielelezo cha matendo mema, na katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahivu
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika mambo yote wewe mwenyewe unapaswa kuwa mfano wa matendo mema. Uwe mnyofu na uwe na uzito katika mafundisho yako.
Shirikisha
Soma Tito 2