Zekaria 11:17
Zekaria 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ole wake mchungaji mbaya, ambaye anawaacha kondoo wake! Upanga na uukate mkono wake, na jicho lake la kulia na ling'olewe! Mkono wake na udhoofike, jicho lake la kulia na lipofuke.”
Shirikisha
Soma Zekaria 11Zekaria 11:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wake mchungaji asiyefaa, aliachaye kundi! Upanga utakuwa juu ya mkono wake, na juu ya jicho lake la kulia; mkono wake utakuwa umekauka kabisa, na jicho lake la kulia litakuwa limepofuka.
Shirikisha
Soma Zekaria 11