Sefania 1:14
Sefania 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hiyo siku ya BWANA iliyo kuu i karibu; I karibu, nayo inafanya haraka sana; Naam, sauti ya siku ya BWANA; Shujaa hulia kwa uchungu mwingi huko!
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Ile siku kubwa ya Mwenyezi-Mungu imekaribia, iko karibu na inakuja mbio. Mlio wa siku ya Mwenyezi-Mungu ni wa uchungu; hapo, shujaa atalia kwa sauti.
Shirikisha
Soma Sefania 1