Sefania 2:11
Sefania 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA atakuwa wa kutisha sana kwao; kwa maana atawaua kwa njaa miungu yote ya dunia; na watu watamsujudia yeye, kila mtu toka mahali pake; naam, nchi zote za mataifa.
Shirikisha
Soma Sefania 2Sefania 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu atakuwa wa kutisha dhidi yao; miungu yote ya dunia ataikondesha. Mataifa yote duniani yatamsujudia; kila taifa katika mahali pake.
Shirikisha
Soma Sefania 2