Sefania 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
Sefania 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
kabla hamjapeperushwa mbali kama makapi, kabla haijawajia siku ya hasira kali ya Mwenyezi-Mungu, kabla haijawajia siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Sefania 2 BHNSefania 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kabla haijazaa hiyo amri, kabla haijapita siku ile kama makapi, kabla haijawajilia hasira kali ya BWANA, kabla haijawajilia siku ya hasira ya BWANA.
Shirikisha
Sefania 2 SUVSefania 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
kabla haijatolewa hiyo amri, kabla siku ile haijapita kama makapi, kabla haijawajia hasira kali ya BWANA, kabla haijawajia siku ya hasira ya BWANA.
Shirikisha
Sefania 2 SRUVSefania 2:2 NEN (Neno)
kabla wakati ulioamriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali ya BWANA haijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu ya BWANA haijaja juu yenu.
Shirikisha
Sefania 2 NEN