Sefania 2:3
Sefania 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtafuteni BWANA, enyi nyote mlio wanyenyekevu wa dunia, ninyi mliozitenda hukumu zake; itafuteni haki, utafuteni unyenyekevu; huenda mtafichwa katika siku ya hasira ya BWANA.
Shirikisha
Soma Sefania 2Sefania 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu enyi wanyenyekevu wote nchini, enyi mnaozitii amri zake. Tafuteni uadilifu, tafuteni unyenyekevu; labda mtaiepa siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Sefania 2