Sefania 3:19
Sefania 3:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya msifiwe na kujulikana, hao ambao aibu yao ilikuwa katika dunia yote.
Shirikisha
Soma Sefania 3Sefania 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo, nitawaadhibu wote wanaokukandamiza. Nitawaokoa vilema na kuwakusanya waliotupwa, na kubadili aibu yao kuwa sifa na fahari duniani kote.
Shirikisha
Soma Sefania 3Sefania 3:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya kuwa sifa na jina, hao ambao fedheha yao ilikuwa katika dunia yote.
Shirikisha
Soma Sefania 3