Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Mit 3:11-12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video