1
1 Mose 7:1
Swahili Roehl Bible 1937
Bwana akamwambia Noa: Ingia chomboni wewe na mlango wako wote! Kwani nimekuona kuwa mwongofu machoni pangu katika kizazi hiki.
เปรียบเทียบ
สำรวจ 1 Mose 7:1
2
1 Mose 7:24
Nayo hayo maji yakakaza kuwa yenye nguvu zizo hizo juu ya nchi siku 150.
สำรวจ 1 Mose 7:24
3
1 Mose 7:11
Katika mwaka wa 600 wa siku zake Noa katika mwezi wa pili siku ya kumi na saba ya mwezi siku hiyo ndipo, chemchemi zote za vilindi vikuu zilipobubujika, nayo madirisha ya mbinguni yakafunguliwa
สำรวจ 1 Mose 7:11
4
1 Mose 7:23
Ndivyo, alivyowatowesha wote waliosimama juu ya nchi kuanzia watu, tena nyama na wadudu nao ndege wa angani, walitoweshwa wote katika nchi, akasalia Noa peke yake pamoja nao waliokuwa naye mle chomboni.
สำรวจ 1 Mose 7:23
5
1 Mose 7:12
mvua ikanyesha katika nchi siku 40 mchana kutwa na usiku kucha.
สำรวจ 1 Mose 7:12
หน้าหลัก
พระคัมภีร์
แผนการอ่าน
วิดีโอ