Kufuma 26

26
1Na uneiareha hema mapazia ma nguo ikumi, kitani kiiwitwe, na ngoningoni, na irotome na ngundu: makerubi, ndima ya mwaria, uneareha. 2Wueza wa pazia imwe mikono makumeri na minane, na kuarama kwakwe mikono minne; pazia lose la mng’ana mwe. 3Mapazia masano menelungana ama na ama; na mapazia mala mengi menelungana ama na ama. 4Na uneareha vifundura vya ngoningoni hena lutiriwo lwa pazia la kuwoka ghati ya kuidiwika kwa kulungania; na huwo uneareha hena lutiriwo lwa pazia la keri, hena kulungania kwa keri. 5Vifundura makumi masano uneareha hena pazia imwe, na vifundura makumi masano hena lutiriwo lwa pazia luoho hena kulungania kwa la keri; nesa vifundura vigurane. 6Uneareha vichunga makumi masano vya thahabu, unelungana mapazia hena vichunga: na ineoka hema mwe.
7Uneareha mapazia ma nyui ma mbuji ma kufinikira hema: mapazia ikumi na imwe unemaareha. 8Wueza wa pazia imwe mikono makumi matatu, na kuarama kwa pazia imwe mikono minne: ma mng’ana mwe mapazia ikumi na imwe. 9Unemalunganya mapazia masano kianya, na mapazia matandatu kianya, na unekoda kuiri pazia la katandatu msongorana wa hema. 10Uneareha vifundura makumi masano wanga ya lutiriwo lwa pazia kuidiwa ghati ya kuguranya, na vifundura makumi masano wanga ya lutiriwo lwa pazia la kuguranya na la keri. 11Na uneareha vichunga makumi masano ma sango, uneingija vichunga ghati ya vifundura, unelunganya hema, nesa ioke mwe. 12Na yashighajika kuneta ghati ya mapazia ma hema, mondo wa pazia laneta, lineikaa wanga ya nyuma ya hema. 13Na mkono uko, na mkono uko, unetie ghati ya wueza wa mapazia ma hema, uneikaa wanga ya misawajo ya nyumba ya Mzuri uko na uko uifinikire. 14Uneareha ifinikiro la hema, mikota mingundu ya ng’onji, na ifinikiro la mikota ya tahashi wanga.
15Uneareha maboho hena hema ma mti wa mshitta, maimuke. 16Mikono ikumi wueza wa iboho, na mkono na ihindi kuarama kwa iboho imwe. 17Vicha hena iboho imwe, vikiarehwa kuyoana: nihuwo uneareha hena maboho mose ma hema. 18Na uneareha maboho hena hema, maboho makumeri mbai ya kusini. 19Na uneviareha vitu makumanne vya feth@ si ya maboho makumeri; vituo viri si ya@ iboho imwe hena vichaa vyakwe viri, na vituo viri si ya iboho la keri hena vichaa vyakwe viri. 20Na mbai ya keri ya hema, mbai ya kaskazini maboho makummeri: 21Na vituo vyawo vya fetha makumanne vituo viri si iboho imwe, na vituo viri si ya iboho la keri. 22Na mbai ya hema ya kigwa‐zano uneareha maboho matandatu. 23Na maboho meri uneareha ghati ya ngandeni ya hema mbai ya nyuma. 24Meneoka meri meri si, huwo menefika wanga yakwe ghati ya pete mwe: huwo meneoka mose meri, meneoka ghati ya nganda mbiri. 25Meneoka maboho manane, na vituo vyawo vya fetha, vituo ikumi na vitandatu@ vituo viri si ya iboho imwe, na vituo viri si ya iboho la keri.
26Uneareha miti ya mshitta: misano hena maboho ma mbai mwe ya hema. 27Miti misano hena maboho ma mbai ya keri ya hema, na miti misano hena maboho ma mbai ya hema, hena mbai mbiri ya kigwa‐zano. 28Na mti wa ghati wa maboho kororowa kuidiwa mtano kuidiwa. 29Na maboho unemafinikira na thahabu, uneareha mawo thahabu, ma kuwikia miti: na unefinikira miti na thahabu. 30Na uneijenga hema hena fwana yakwe uwondjwe nduwini.
31Uneareha pazia la ngoningoni, na ngundu, na irotome, na uguo ya kitani kiwitwi, ndima ya mwaaria: unearehia makerubi: 32Uneliwika wanga ya ngujo ’nne ja mshita, jikifinikirwa na thahabu, vichunga vyawo thahabu, wanga ya vituo vinne vya fetha. 33Nawe unetandika pazia si ya vichunga, nesa uete ndeni ya pazia sanduku la luwondjo: nalo pazia lineghawa ghati ya heshenete ya heshenete na heshenete. 34Nawe unewika kiikaiyo wanga ya sanduku la luwondjo ghati ya heshenete ha heshenete. 35Nawe unewika meza some ya pazia, na, kinara kuiwiria meza mbai ya hema ya kusini, na unewika meza mbai ya kaskazini. 36Nawe uneareha iwaniko la mrango wa Hema, ya ngoningoni, na ya ngundu, na ya irotome, na nguo ya kitani kiwitwe, hena ndima ya sindano. 37Nawe uneliarehia iwaniko ngujo sano ja mshitta, unejifinikira na thahabu, na vichunga vyawo thahabu: unejiarehia vituo visano vya usango ichangaruke.

Seçili Olanlar:

Kufuma 26: TAVETA

Vurgu

Paylaş

Kopyala

None

Önemli anlarınızın tüm cihazlarınıza kaydedilmesini mi istiyorsunuz? Kayıt olun ya da giriş yapın