Yoane 1:3-4

Yoane 1:3-4 SWC02

Vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, wala hakuna hata kitu kimoja kilichoumbwa pasipo yeye. Yeye alikuwa chemichemi ya uzima, na uzima huu ulikuwa mwangaza kwa watu.