1
Waefeso 6:12
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa maana kushindana kwetu si dhidi ya mwili na damu, bali dhidi ya falme na mamlaka, dhidi ya wakuu wa ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Compare
Explore Waefeso 6:12
2
Waefeso 6:18
mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.
Explore Waefeso 6:18
3
Waefeso 6:11
Vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kuzipinga hila za ibilisi.
Explore Waefeso 6:11
4
Waefeso 6:13
Kwa hiyo vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kushindana siku ya uovu itakapokuja, nanyi mkiisha kufanya yote, simameni imara.
Explore Waefeso 6:13
5
Waefeso 6:16-17
Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho wa Mungu, ambao ni neno la Mungu
Explore Waefeso 6:16-17
6
Waefeso 6:14-15
Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani, nayo miguu yenu ivalishwe viatu vya utayari tunaopata katika Injili ya amani.
Explore Waefeso 6:14-15
7
Waefeso 6:10
Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana Isa na katika uweza wa nguvu zake.
Explore Waefeso 6:10
8
Waefeso 6:2-3
“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, “upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Explore Waefeso 6:2-3
9
Waefeso 6:1
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana Isa, kwa kuwa hili ni jema.
Explore Waefeso 6:1
Home
Bible
Plans
Videos