1
Ezekieli 12:28
Neno: Bibilia Takatifu
“Kwa hiyo, waambie, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Hakuna maneno yangu yatakayocheleweshwa tena zaidi, lolote nisemalo litatimizwa, asema BWANA Mwenyezi.’ ”
Compare
Explore Ezekieli 12:28
2
Ezekieli 12:25
Lakini Mimi BWANA nitasema neno nitakalo, nalo litatimizwa bila kuchelewa. Kwa maana katika siku zako, wewe nyumba ya kuasi, nitatimiza kila nisemalo, asema BWANA Mwenyezi.’ ”
Explore Ezekieli 12:25
3
Ezekieli 12:2
“Mwanadamu, unaishi miongoni mwa watu waasi. Wana macho ya kuona, lakini hawaoni na masikio ya kusikia lakini hawasikii, kwa kuwa ni watu waasi.
Explore Ezekieli 12:2
Home
Bible
Plans
Videos