1
Isaya 50:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Bwana Mungu Mwenyezi amenipa ulimi uliofundishwa, ili kujua neno limtegemezalo aliyechoka. Huniamsha asubuhi kwa asubuhi, huamsha sikio langu lisikie kama mtu afundishwaye.
Compare
Explore Isaya 50:4
2
Isaya 50:7
Kwa sababu Bwana Mungu Mwenyezi ananisaidia, sitatahayarika. Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama gumegume, nami ninajua sitaaibika.
Explore Isaya 50:7
3
Isaya 50:10
Ni nani miongoni mwenu amchaye Mwenyezi Mungu, na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la Mwenyezi Mungu, na amtegemee Mungu wake.
Explore Isaya 50:10
Home
Bible
Plans
Videos