1
Isaya 49:15
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Je, mama aweza kumsahau mtoto aliye matitini mwake akinyonya, wala asiwe na huruma juu ya mtoto aliyemzaa? Ingawa anaweza kusahau, mimi sitakusahau wewe!
Compare
Explore Isaya 49:15
2
Isaya 49:16
Tazama, nimekuchora kama muhuri katika vitanga vya mikono yangu, kuta zako zi mbele yangu daima.
Explore Isaya 49:16
3
Isaya 49:25
Lakini hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, nami nitawaokoa watoto wako.
Explore Isaya 49:25
4
Isaya 49:6
yeye asema: “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu ili kurejesha makabila ya Yakobo, na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.”
Explore Isaya 49:6
5
Isaya 49:13
Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu; furahi, ee dunia; pazeni sauti kwa kuimba, enyi milima! Kwa maana Mwenyezi Mungu anawafariji watu wake, naye atakuwa na huruma kwa watu wake walioumizwa.
Explore Isaya 49:13
Home
Bible
Plans
Videos