Ulisema, ‘Ole wangu! BWANA ameongeza huzuni juu ya maumivu yangu, nimechoka kwa kulia kwa uchungu wala sipati pumziko.’ ”
BWANA akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote.