1
Mathayo 25:40
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmoja wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’
Compare
Explore Mathayo 25:40
2
Mathayo 25:21
“Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache; nami nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!’
Explore Mathayo 25:21
3
Mathayo 25:29
Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa.
Explore Mathayo 25:29
4
Mathayo 25:13
“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa.
Explore Mathayo 25:13
5
Mathayo 25:35
Kwa maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula, nilikuwa na kiu mkaninywesha, nilikuwa mgeni mkanikaribisha
Explore Mathayo 25:35
6
Mathayo 25:23
“Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu. Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache; nami nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!’
Explore Mathayo 25:23
7
Mathayo 25:36
nilikuwa uchi mkanivisha nguo, nilikuwa mgonjwa mkanitunza, nami nilikuwa kifungoni mkaja kunitembelea.’
Explore Mathayo 25:36
Home
Bible
Plans
Videos