1
Mathayo 26:41
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu.”
Compare
Explore Mathayo 26:41
2
Mathayo 26:38
Kisha Isa akawaambia, “Moyo wangu umejawa na huzuni kiasi cha kufa. Kaeni hapa na mkeshe pamoja nami.”
Explore Mathayo 26:38
3
Mathayo 26:39
Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe.”
Explore Mathayo 26:39
4
Mathayo 26:28
Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Explore Mathayo 26:28
5
Mathayo 26:26
Walipokuwa wanakula, Isa akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.”
Explore Mathayo 26:26
6
Mathayo 26:27
Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika kikombe hiki.
Explore Mathayo 26:27
7
Mathayo 26:40
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?
Explore Mathayo 26:40
8
Mathayo 26:29
Lakini ninawaambia, tangu sasa sitakunywa tena katika uzao huu wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Explore Mathayo 26:29
9
Mathayo 26:75
Ndipo Petro akakumbuka lile neno Isa alilokuwa amesema: “Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi.
Explore Mathayo 26:75
10
Mathayo 26:46
Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Explore Mathayo 26:46
11
Mathayo 26:52
Ndipo Isa akamwambia, “Rudisha upanga wako alani mwake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.
Explore Mathayo 26:52
Home
Bible
Plans
Videos